Niyonzima aifanyia 'nyodo' Azam FC
Nahodha msaidizi kutoka klabu ya Yanga, Haruna Niyonzima amesema mechi inayotarajiwa kuchezwa siku ya Jumamosi (Kesho) dhidi ya Mabingwa Afrika Mashariki na Kati Azam FC itakuwa ya kukata na shoka kwa sababu wanataka ushindi.

