Yanga yaanza kibarua cha Kimataifa leo
Timu ya Young Africans ambayo ni Mabingwa wa Tanzania wanayoiwakilisha nchi katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga SC leo Februari 12, 2017 inashuka dimbani nchini Comoro kucheza na Ngaye De Mbe ya nchini humo.