Ray kurudi na nguvu mpya kwenye 'bongo movie'
Msanii filamu Bongo Vincent Kigosi 'Ray' amefunguka na kuwaomba mashabiki zake kuwa tayari kuipokea kazi yake mpya ya 'Gate Keeper' ambayo ina utofauti mkubwa katika kazi zake alizowahi kuzifanya hapo awali.