Kikosi cha Yanga dhidi ya Mbao FC leo.
Mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara, Young Africans wanashuka dimbani leo kuwavaa Mbao FC katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Tanzania Bara (FA) katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

