Mimi ni msanii pekee ninayependeza - Dogo Janja Dogo Janja Dogo Janja 'Janjaro ameibuka na kujigamba hakuna msanii yoyote hapa nchini Tanzania na ukanda wa Afrika ya Mashariki anayevaa na kupendeza kama yeye kwani wengi wamekuwa wakivaa na kufanana na Wakongo. Read more about Mimi ni msanii pekee ninayependeza - Dogo Janja