Mchezaji wa Ruvu Shooting alamba tuzo ya VPL
Mchezaji wa timu ya Ruvu Shooting FC, Abdulrahaman Mussa amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu Tanzani Bara kwa mwezi wa Aprili kwa msimu wa 2016/2017 baada ya kumshinda Jafar Salum kutoka Mtibwa Sugar FC na Zahoro Pazi wa Mbeya City

