Lawrence Masha aondoka CHADEMA Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha amejivua uanachama wa CHADEMA akidai upinzani hauna nia ya kutafuta fursa ya kuunda Serikali. Read more about Lawrence Masha aondoka CHADEMA