Mtoto wa Chacha Wangwe ahukumiwa
Rungu la sheria ya makosa ya mitandaoni leo limemuangukia mtoto wa aliyekuwa mwanasiasa maarufu Tanzania Chacha Wangwe, Bob Chacha Wangwe, kwa kuhukumiwa kwenda jela mwaka mmoja na miezi sita au kulipa faini ya milioni 5.