Meli yazama ziwa Victoria Watu 17 wameokolewa baada ya meli ya MV Julius kuzama ziwa Victoria jana usiku ikiwa na watu pamoja na mizigo, kilomita chache kutoka kisiwa cha Goziba Wilayani Muleba Mkoani Kagera. Read more about Meli yazama ziwa Victoria