Kutomsema marehemu kumepitwa na wakati Msanii Afande Sele amesema kitendo cha watu kumwambia kuwa anafanya vibaya kumsema marehemu (Steven Kanumba) ni kitendo ambacho kimepitwa na wakati na mila zisizofaa. Read more about Kutomsema marehemu kumepitwa na wakati