Singida United yazidi kusogea juu Klabu ya soka ya Singida United imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Lipuli FC kwenye mchezo uliomalizika jioni hii kwenye uwanja wa Namfua mjini Singida. Read more about Singida United yazidi kusogea juu