Kikosi cha Kilimanjaro Stars chatajwa Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania Ammy Ninje leo ametaja majina 20 ya wachezaji wanaounda kikosi cha timu iyo itakayoshiriki michuano ya CECAFA Challenge mwaka huu. Read more about Kikosi cha Kilimanjaro Stars chatajwa