Mwenyekiti BAVICHA aitosa CHADEMA
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema Taifa , (BAVICHA) Patrobas Katambi ameomba ridhaa ya kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM, leo kwenye kikao cha Halmashauri Kuu Taifa NEC kwa madai kwamba siyo kwa sababu ya madaraka bali