Maamuzi mapya ya kikao cha CCM
Kikao cha halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi taifa NEC, kilichoanza jana Ikulu jijini Dar es salaam kimemalizika leo na kutoka na maadhimio kadhaa ikiwemo uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ngazi ya mkoa na taifa.