Urusi yajaribu kombora la nyuklia la Burevestnik
Baada ya Gazeti la Wall Street Journal kuripoti kuwa utawala wa Trump umeondoa kizuizi muhimu kwa Ukraine kutumia baadhi ya makombora ya masafa marefu iliyotolewa na washirika wa Magharibi, Putin alisema siku ya Alhamisi kwamba ikiwa Urusi itashambuliwa, jibu lake litakuwa ni zito sana."

