Rais Magufuli aomba aombewe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewataka wananchi wa mkoa wa Mwanza waendelee kumuombea katika sala zao wanazozifanya kwa kuwa kazi yake ni kubwa mno na inahitaji maombi ya hali ya juu. Read more about Rais Magufuli aomba aombewe