Sugu na mwenzake watupwa jela Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi 'Sugu' na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga wamekutwa na hatia katika ya kesi inayowakabili na kuhukumiwa kwenda jela miezi mitano. Read more about Sugu na mwenzake watupwa jela