Burkina Faso yawaachilia huru raia 11 wa Nigeria Utawala wa kijeshi wa Burkina Faso unaoongozwa na Ibrahim Traoré umewaachilia wafanyakazi hao baada ya mikutano na ujumbe wa Nigeria unaoongozwa na Tuggar, taarifa hiyo iliongeza. Read more about Burkina Faso yawaachilia huru raia 11 wa Nigeria