VItuo vya kupigia kura vyaongezwa

Jumla ya vituo 384 vya kupigia kura vimeandaliwa katika Jimbo la Mwibara na Bunda katika kata kumi na tisa ili kurahisisha zoezi la upigaji kura ambapo kila kituo kimoja kitahudumia wananchi wasiozidi 450.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS