Meneja wa TARURA ashikiliwa kwa kumuua mkewe Mara Tukio hilo lilitokea usiku wa Oktoba 23, 2025, majira ya saa moja na nusu usiku, nyumbani kwa marehemu, ambapo inadaiwa watu wawili waliruka ukuta na kuingia ndani kabla ya kutekeleza mauaji hayo. Read more about Meneja wa TARURA ashikiliwa kwa kumuua mkewe Mara