Kesi ya vigogo wa CHADEMA yaiva Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Taifa, Freeman Mbowe pamoja na viongozi wengine saba wa chama hicho wamesomewa mashtaka mapya 13 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Juni 12. Read more about Kesi ya vigogo wa CHADEMA yaiva