Ndalichako amvaa Mwalimu anayenajisi wanafunzi
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako ameweka wazi kwamba serikali haiwezi kuvumilia vitendo vya udhalilishaji ambavyo vimeonekana kufanywa na mwalimu wa shule St. Florence iliyopo jijini Dar es salaam.