Kesi ya jengo kuporomoka Kariakoo yaahirishwa tena
Shauri la kesi ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa Kariakoo, linalosikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu limeahirishwa hadi Disemba 30 baada ya Upande wa Jamhuri kushindwa kuwasomea washitakiwa maelezo ya mashahidi na vielelezo baada ya kubainika kuwa baadhi ya nyaraka hazipo

