Spika Ndugai ataja cheo chake kingine
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai katika hali ya utani leo bungeni amewataka wabunge wake kutambuana kwa vyeo tofauti na vile vya uwakilishi wa wananchi katika jumba hilo ambapo amesema yeye ni Mzee wa Kanisa lakini hawamtambui.