Jambo la lazima katika fainali za Kombe Dunia
Hakuna mashindano ya Kombe la Dunia yamemalizika bila ya kupigwa penati, hii inatokana na ushindani mkubwa unaokuwepo na kupelekea dakika tisini kumalizika bila kupatikana kwa suluhu ndipo mikwaju hupigwa.