Kipa wa Iceland aibuka mchezaji bora Golikipa wa timu ya taifa ya Iceland, Hannes Þór Halldórsson, amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mechi katika mchezo wa leo dhidi ya Argentina kwenye michuano ya Kombe la Dunia. Read more about Kipa wa Iceland aibuka mchezaji bora