NEC yatangaza tarehe rasmi ya uchaguzi
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza tarehe rasmi ya uchaguzi mdogo wa Ubunge katika jimbo la Buyungu pamoja na udiwani katika kata 79 za Tanzania Bara ambapo siku ya uchaguzi huo imepangwa kuwa Agosti 12 mwaka huu.