Rais Magufuli amteua Mwamunyange

Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt. John Magufuli (kushoto), wakiteta jambo na Mkuu wa Majeshi mstaafu Jenerali Davis Mwamunyange.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Jen. Mstaafu Davis Mwamunyange kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS