Kuhusu vitambulisho vya Taifa visivyo na sahihi
Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA), imesema kuwa suala la kubadilisha vitambulisho vya awali ni gharama kwa serikali hivyo wameamua kutafuta njia mbadala ambayo imeanza kutekelezeka bila kuathiri upatikanaji wa taarifa za mhusika.