''Tunauzoefu na uwanja wa taifa'' - Team Kiza
Timu ya mpira wa Kikapu ya Team Kiza, wameipongeza kamati ya maandalizi ya michuano ya Sprite Bball Kings kwa kuipeleka michezo ya robo fainali kwenye uwanja wa ndani wa taifa kwani ndio uwanja ambao wanauzoefu nao.