Rais Samia ateua Jaji Mkuu mpya Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania akichukua nafasi ya Prof. Ibrahim Hamis Juma ambaye amestaafu. Read more about Rais Samia ateua Jaji Mkuu mpya