Wapalestina waamriwa kuondoka Gaza

Zaidi ya Wapalestina 64,000 wameuawa tangu wakati huo huko Gaza, mamlaka ya afya ya eneo hilo inasema, huku sehemu kubwa ya eneo hilo ikiwa magofu na wakaazi wake wakikabiliwa na janga la kibinadamu. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS