Polepole atangaza muda wa mwisho wabunge kujiuzulu
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole amesema wabunge wa upinzani wanaotaka kujiunga na chama hicho mwisho wa kufanya hivyo ni Disemba, 2018.