"Ingieni mtaani nyumba kwa nyumba"- Halima Mdee
Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia CHADEMA, Halima Mdee ameibuka na kuwashauri jambo la kufanya mashabiki wa Simba ili kusaidia kumpata mfanyabishara, Mohammed Dewji aliyetekwa alfajiri ya jana jijini Dar es salaam.