Story ya Blue kutaka kuolewa na Kalapina

Pichani ni Mr Blue na Kalapina

Legend Mr Blue kwenye moja mahojiano ya hivi karibuni aliwahi kusimulia story kuhusu gazeti lililowahi kumuandika kuwa Msanii mwenzie Kalapina alipeleka mahari kwao ili kumuoa kwasababu ya ule ubishoo aliokuwa nao kipindi kile

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS