Rais Lungu kuzikwa Juni 22 baada ya makubaliano
Zikiwa zimepita siku zaidi ya 10 tangu Rais wa Zamani wa Zambia afariki dunia na kuibuka kwa mzozo kuhusu mipango ya mazishi ya ushirikiano wa serikali na familia, hatimaye Familia ya Lungu imekiri kuwa wamefikia makubaliano ya pamoja.