Makocha watano walioshinda mechi nyingi kwenye NBA
Kocha wa timu ya Kikapu ya San Antonio Spurs, Gregg Popovich ameingia kwenye rekodi za ligi ya kikapu nchini Marekani, baada ya kuwa kocha wa nne kati ya watano walioshinda mechi nyingi zaidi katika ligi hiyo.

