"Sijaridhika, nimewaita Mawaziri" - Waziri Mkuu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameamua kuitisha kikao cha Mawaziri wote na makatibu wakuu wote kesho (Ijumaa) saa 5 asubuhi ili waeleze kazi hiyo ya ujenzi wa majengo ya serikali itakamilishwa lini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS