Bright afunguka sababu ya kutomiliki gari Bright Msanii anayefanya vizuri hivi sasa kwenye gemu ya Bongo Fleva, Bright amefunguka sababu ya kutomiliki gari hadi hivi sasa licha ya kupata umaarufu kupitia kazi hiyo. Read more about Bright afunguka sababu ya kutomiliki gari