Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo kushoto akiwa na Makontena.
Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imezuia Makontena zaidi ya 1000 Bandarini, ambayo yanaonekana kuwa ni ya baadhi ya vigogo na makampuni makubwna na endapo hayatolipiwa ndani ya siku 30, yatapigwa mnada.