"Tunautaka ubingwa wetu tuliouazimisha" - Dismas Afisa Habari wa Yanga, Dismas Ten Afisa Habari wa klabu ya soka ya Yanga Dismas Ten amesema kuwa wana malengo ya kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu ili iweze kufikisha mara 28. Read more about "Tunautaka ubingwa wetu tuliouazimisha" - Dismas