Fastjet wapewa mtihani wa fedha
Mamlaka ya Usimamizi wa Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA ), imelitaka Shirika la Ndege la Fastjet Tanzania kupeleka andiko la kudhibitisha uwezo wa kifedha ili kuona kama wanajiweza katika biashara hiyo ya usafishaji wa anga.

