Nandy na Dogo Janja watimiza ndoto yao

Kushoto ni msanii Nandy na kulia ni Dogo Janja.

Mwaka 2018 huenda ukawa ni mwaka mzuri zaidi kwa baadhi ya wasanii wa Bongofleva ambao wamepata muda wa kusikika zaidi kupitia ngoma zao na hatimaye kupata kipato ambacho kimewasaidia kufanya mambo makubwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS