Marekani yaishambulia ISIS nchini Nigeria
"Usiku wa leo, kwa maelekezo yangu kama Amiri Jeshi Mkuu, Marekani ilianzisha mashambulizi makali dhidi ya ISIS huko Kaskazini-Magharibi mwa Nigeria, ambao wamekuwa wakiwalenga na kuwaua kwa ukatili, Wakristo wasio na hatia, katika viwango ambavyo havijaonekana kwa miaka mingi."

