Spika azungumzia Zitto kuwa Rais wa Tanzania

Spika wa Bunge Job Ndugai

Spika wa Bunge Job Ndugai amesema kuwa Mbunge wa Kigoma Mjini hawezi kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bila kufafanua kauli yake au kutaja sababu hasa itakayopelekea kiongozi huyo na chama chake kushindwa kushika dola.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS