Kwenye ubingwa, Liverpool inafanya mambo ya 2014

Javier Hernandez 'Chicharito' wa West Ham akiwa katikati ya wachezaji wa Liverpool, usiku wa jana.

Tofauti ya pointi kati ya kinara wa ligi Liverpool na anayeshika nafasi ya pili Manchester City inaendelea kushuka siku hadi siku na kuhatarisha mbio zake za ubingwa wa kwanza baada ya miaka 29 kupita.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS