Dk.Hussein Mwinyi akitimiza haki yake Kikatiba
Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, leo Jumatano, Oktoba 29, 2025, amejitokeza kupiga kura katika Kituo cha Kariakoo, Jimbo la Kwahani, Unguja, akitimiza haki yake ya msingi ya kikatiba kama raia wa Zanzibar.

