Zelensky amtaka Putin kumfuata mwenyewe Ukraine "Yeye (Putin) anaweza kuja Kyiv...siwezi kwenda Moscow wakati nchi yangu inapigwa makombora, inashambuliwa kila siku. Siwezi kwenda kwenye mji mkuu wa gaidi huyu" amesema Zelensky. Read more about Zelensky amtaka Putin kumfuata mwenyewe Ukraine