Je,Trump atahudhuria Mkutano wa G20 Afrika Kusini? Afrika Kusini imeendelea na maandalizi zikiwa zimesalia siku 100 kabla ya Mkutano wa kwanza Kihistoria wa Viongozi wa G20 kufanyika katika ardhi ya Afrika mjini Johannesburg mwezi November. Read more about Je,Trump atahudhuria Mkutano wa G20 Afrika Kusini?