Mahakama yamwongezea hukumu Baba Levo Baba levo (katikati) Diwani wa Mwanga Kaskazini (ACT-Wazalendo) Manispaa ya Kigoma Ujiji, Clayton Chipando maarufu Baba Levo ameongezewa kifungo kutoka miezi mitano jela hadi mwaka mmoja. Read more about Mahakama yamwongezea hukumu Baba Levo